0

Fahamu Zaidi 📚

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara na maelezo zaidi kuhusu huduma zetu

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

MAPAMBANO YA KIROHO: UNAYOYAONA NA YASIOONEKANA

Kuna mateso ya kimwili… lakini kuna mateso makubwa zaidi ya kiroho ambayo hayaonekani kwa macho. Watu wengi wanateseka kimya kimya bila kuelewa chanzo. Wamehangaika hospitali, wamepimwa, hakuna tatizo – lakini bado hawaponi. Njia sahihi ya kupata tiba ni Ruqyah ya kisheria

SASA NI WAKATI WAKO:

Ikiwa umesoma mpaka hapa, basi ujumbe huu ni kwa ajili yako.

👉 Chukua hatua. Leo. Sasa. Ruqyah ni ya kila mwenye kutaka tiba ya Quran.

Maisha haya si rahisi – na mara nyingine, matatizo tunayopitia hayaelezeki kwa macho wala vipimo. Lakini Qur'an inatuambia kuwa:

"Hakika pamoja na uzito, kuna wepesi…" (Surat Ash-Sharh: 6)

Ruqya sio tu tiba – ni mwito wa kurudi kwa Allah na kuepuka tiba za kishirikina. Ni fursa ya kusafisha roho, kubadilisha maisha, na kuanza upya. Ni mwangaza wa Qur'an kuingia kwenye moyo ulioumizwa na giza la uchawi, majini, husda, na msongo wa mawazo.

Usikubali shetani akudanganye kwamba huna nafasi ya kupona.

📿 Kila linaloshikiliwa na uchawi, linafunguliwa na Qur'an.

📿 Kila linalozuiliwa na majini, linavunjwa na Ruqya.

📿 Kila huzuni ya roho, hutibiwa kwa dhikri ya kweli.

Ikiwa umepitia mateso, ukaenda hospitali mara nyingi, ukaambiwa hauna tatizo… lakini ndani ya moyo wako unajua kuna kitu si sawa – basi ujue huu ni mwito wa Mwenyezi Mungu kwako. Usipuuze. Usichelewe. Usihofie. Allah yupo – na Qur'an ni tiba. Wewe ni wa thamani. Usiendelee kuteseka kimya kimya.

☎ CHUKUA HATUA SASA:

  • ✅ Weka miadi ya huduma ya Ruqya ya Siku 7
  • ✅ Uliza kuhusu Hijamah au dawa za asili
  • ✅ Tuma ujumbe wa WhatsApp kwa ushauri au uchunguzi wa awali
  • ✅ Waambie ndugu zako, wape fursa ya nuru hii pia

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant