Huduma za Afya
Huduma za afya za kitaalamu zinazotolewa kwa utunzaji na ujuzi
Ruqya ya Matatizo ya Akili
Ruqya ya Kufungua Vifungo vya Uchawi
Kwa wale waliofungwa kimaisha – kazi haifanikii, biashara haieleweki, kila jambo linaanguka ghafla
Ruqya ya Kinga kwa Watoto
Ruqya kwa Wanandoa
Inasaidia: • Kufungua milango ya ndoa • Kuondoa vizuizi vya kiroho kwa wanaoshindwa kuoa/kuolewa • Kurudisha maelewano kati ya wanandoa waliokorofishana kwa sababu za kiroho •Kwa wenye migogoro ya ghafla, kupoteza mapenzi, au wanaoishi bila amani. • Pia kwa waliofungwa kiroho wasiowe wala kuolewa.
Ruqya ya Mahali
Kwa nyumba, ofisi, sehemu ya biashara au eneo lolote linaloonekana kuwa na hali zisizo za kawaida – mfano: kelele zisizoeleweka, harufu mbaya, moshi, watu kuumwa bila sababu, biashara kudorora ghafla. •Husaidia kuondoa majini waliokalia mahali na kufungua mlango wa baraka.
Hijamah ya Kuondoa Sihri (Inapotakiwa)
Ruqya ya Kisheria kwa Siku 7
Utasomewa Ruqya kwa siku saba mfululizo. Kupitia visomo hivi, utaanza kuona dalili zako zinapungua au kutoweka kabisa kadri unavyoendelea na tiba. • Inafanyika kwa kusomewa Qur’an kila siku kwa muda wa siku saba • Huduma hufuata kiwango cha tatizo: uchawi, husda, majini au kijicho
Kwa nini Uchague Huduma Zetu?
Tunatoa huduma za afya za kitaalamu na wataalamu wenye sifa na vifaa vya kisasa
expert_professionals
expert_professionals_desc
personalized_care
personalized_care_desc
convenient_hours
convenient_hours_desc