Hijamah ya Kuondoa Sihri (Inapotakiwa)
Hijamah hufanyika sambamba na Ruqya pale panapohitajika. Kwa mujibu wa Hadithi, “Tiba iko katika kiwembe cha hij...
Hijamah ya Kuondoa Sihri (Inapotakiwa)
service_description
pale panapohitajika. Kwa mujibu wa
Hadithi, “Tiba iko katika kiwembe cha
hijamah”. Hii ni kwa sababu matatizo ya
uchawi, majini, husda na kijicho mara
nyingi hujificha kama gesi chini ya ngozi,
ambayo hutolewa kwa kuchanja kwa
kiwembe. Hijamah pia husaidia maradhi ya
kawaida ya mwili.• Inasaidia kutoa uchafu
wa kiroho unaojificha chini ya ngozi.•
Huondoa gesi za sihri zinazosababisha
maumivu yasiyo ya kawaida
• Ni tiba inayopendekezwa kwa wagonjwa
wa kiroho na kimwili
7 days dakika
available_daily
service_benefits
Utunzaji wa Kitaalamu
expert_care_desc
personalized_approach
personalized_approach_desc
followup_care
followup_care_desc
what_to_expect
booking_appointment
booking_appointment_desc
consultation
consultation_desc
treatment
treatment_desc
followup
followup_desc
Huduma Zinazohusiana
Ruqya ya Matatizo ya Akili
Kwa wale wanaopata msongo wa mawazo, hofu, wasiwasi au dalili nyingine za matatizo ya kiakili ...
Ruqya ya Kinga ya Ujauzito na Kujifungua Salama
:Inasaidia mwanamke kuwa na ujauzito wenye utulivu na kujifungua bila madhara ya kiroho kama v...
Ruqya na Dua Kabla ya Mtihani
Kwa wanafunzi wanaotaka msaada wa kiroho kabla ya kufanya mitihani muhimu.Pia dua maalum za ku...