Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
HEART HEALTH PACKAGE - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / HEART HEALTH PACKAGE
HEART HEALTH PACKAGE

HEART HEALTH PACKAGE

TZS 180,000.00 Magonjwa Ya Moyo
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Inafaa kwa watu wenye matatizo
yafuatayo:
✅ Shinikizo la damu (BP) – iwe la juu au
la chini
✅ Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
(arrhythmia)
✅ Maumivu ya kifua yanayohusiana na
matatizo ya moyo
✅ Cholesterol nyingi mwilini
✅ Msongo wa mawazo na stress
inayoathiri afya ya moyo
???? Ndani ya kifurushi hiki:
???? Kopo 6 – dozi kamili ya mwezi mmoja
???? Imetengenezwa kwa mchanganyiko wa
virutubisho asilia vinavyosaidia afya ya
moyo na mfumo wa damu
???? Jinsi ya kutumia:
???? Tumia vijiko viwili vya chakula (2
tbsp),asubuhi na jioni dakika 30 kabla ya
chakula.
???? Kunywa na maji ya uvuguvugu kwa
ufanisi zaidi
???? Faida kuu za HEART HEALTH
PACKAGE:
✅ Inasaidia kudhibiti na kushusha
shinikizo la damu
✅ Inapunguza viwango vya cholesterol
mbaya (LDL) mwilini
✅ Inaimarisha mzunguko wa damu na
afya ya moyo kwa ujumla
✅ Inatuliza msongo wa mawazo na
kupunguza madhara yake kwa moyo
✅ Inasaidia kufungua vifungo vya kiroho
vinavyosababisha maumivu
yasiyoeleweka ya moyo
✅ kumtegemea Allah inakufanya kupata
shifaa ya kweli
???? BEI: Dozi kamili ya mwezi mmoja (kopo
6) – TZS 180,000

⏳ Usisubiri mpaka hali iwe mbaya —
chukua hatua sasa kwa afya bora ya
moyo wako.
???? Tiba ya kimwili na kiroho — tunafanya
sababu, shifaa ni kutoka kwa Allah.

no_additional_details

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant