Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
KIKOJOZI HERBAL MIXTURE. (BEDWETTING) - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / KIKOJOZI HERBAL MIXTURE. (BEDWETTING)
KIKOJOZI  HERBAL  MIXTURE.  (BEDWETTING)

KIKOJOZI HERBAL MIXTURE. (BEDWETTING)

TZS 20,000.00
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Dawa hii hutibu maradhi yatokanayo na udhaifu
wa kibofu cha mkojo ambao humfanya mhusika
kutokwa na mkojo bila ya hiari yake mwenyewe.
Mtu anaweza kukojoa kitandani akiwa usingizini
au mtu anaweza kutokwa na mkojo akiwa macho.
Na kuna watu wengine hutokwa na matone
madogo madogo ya mkojo hata wakiwa macho.
Fanya oda
Dorse kamili ni kopo tatu na kila kopo moja
ni elfu T.Sh. 20000
✅Tupo Kariakoo mtaa wa mafia karibu na
msikiti wa Manyema Dar es salaam
✅Delivery tunafanya kwa gharama zako.
Tunatuma hata Mikoani na nje ya nchi.

no_additional_details

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant