Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
AL HIFADHAH HERBAL SOAP - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / AL HIFADHAH HERBAL SOAP

AL HIFADHAH HERBAL SOAP

TZS 5,000.00
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Ni sabuni dawa asilia inayo tengenezwa kwa
kutumia Dawa asilia ambao una utajiri wa
vitamin lukuki zenye faida kibao kwa afya
ya ngozi ya mwanadamu.
Matumizi ya sabuni hii husaidia kufanya kazi
zifuatazo
i. Ku’ngarisha ngozi
ii. Kulainisha ngozi
iii. Kuondoa mabaka ya usoni na
chunusi,madoadoa
iv. Kuondoa makunyanzi ya usoni
v. Huifanya ngozi ya mtumiaji
nyororo na yenye afya.
Fanya oda
✅Dorse kamili ni sabunimoja na kila moja
ni elfu T.Sh. 5000

no_additional_details

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant