Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
ANTI FUNGAL SPRAY. - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / ANTI FUNGAL SPRAY.
ANTI FUNGAL SPRAY.

ANTI FUNGAL SPRAY.

TZS 10,000.00 Virutubisho Na Urembo
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Hii ni dawa ya asili ya kiarabu ambayo kazi yake
kwenye ngozi ni kama ifuatavyo:
(a) Hutibu fangasi ya sehemu za siri kwa jinsia
zote mwanamme na mwanamke. Huondoa
mwashowasho na harufu mbaya sehemu za siri.
Pia huondosha mabaka ya fangasi ya sehemu za
siri na uchafu na majimaji yanayotoka sehemu za
siri kwa wanawake.
(b) Ikiwa mtu hunuka makwapa au sehemu ya
siri, ajipake sehemu husika asubuhi na jioni baada
ya kukoga.
(c) Kunuka miguu pamoja na fangasi ya miguu na
mikono kwa kujipaka.
Fanya oda
Dorse kamili ni kopo moja na kila kopo moja
ni elfu T.Sh. 10000
✅Tupo Kariakoo mtaa wa mafia karibu na
msikiti wa Manyema Dar es salaam
✅Delivery tunafanya kwa gharama zako.
Tunatuma hata Mikoani na nje ya nchi.

no_additional_details

Bidhaa Zinazohusiana

AL-MISWAK.

AL-MISWAK.

TZS 5,000.00
GOITRE

GOITRE

TZS 30,000.00

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant