Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
AL-MISWAK. - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / AL-MISWAK.
AL-MISWAK.

AL-MISWAK.

TZS 5,000.00 Virutubisho Na Urembo
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Hii ni dawa iliyotengenezwa kwa mchanganyiko
maalum wa dawa za Kisunnah na za Kiarabu
zisizokuwa na sumu au madhara mwilini. Ni
dawa ya kusukutua ambayo huondosha harufu
mbaya mdomoni. Huzuia meno kuoza na huua
bacteria wanaoshambulia na kuharibu meno. Pia
huzuia fizi kutoa damu.
Fanya oda
Dorse kamili ni kopo moja na kila kopo moja
ni elfu T.Sh. 5000
✅Tupo Kariakoo mtaa wa mafia karibu na
msikiti wa Manyema Dar es salaam
✅Delivery tunafanya kwa gharama zako.
Tunatuma hata Mikoani na nje ya nchi.

no_additional_details

Bidhaa Zinazohusiana

GOITRE

GOITRE

TZS 30,000.00

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant