Warning: Undefined variable $productId in /home/kecsbsmi/alwastanshop.com/product_view.php on line 16
HABBAT SAUDAA HAIR TONIC (AL HIFADHAH HAIR TONIC) - AlWastan Shop Online
0
Nyumbani / Bidhaa / HABBAT SAUDAA HAIR TONIC (AL HIFADHAH HAIR TONIC)
HABBAT SAUDAA HAIR TONIC (AL  HIFADHAH HAIR TONIC)

HABBAT SAUDAA HAIR TONIC (AL HIFADHAH HAIR TONIC)

TZS 20,000.00 Virutubisho Na Urembo
availability: ipo hifadhini

Maelezo

Huu ni mchanganyiko maalum wa mafuta ya
habbat saudaa na mafuta mengine hasa kwa
kukuza na kuimarisha nywele na ndevu. Huzuia
nywele kung’okang’oka, huzipa nywele afya
nzuri na kuzifanya kuwa nyeusi na nyororo.
Fanya oda
Dorse kamili ni kopo tatu na kila kopo moja
ni elfu T.Sh. 20000
✅Tupo Kariakoo mtaa wa mafia karibu na
msikiti wa Manyema Dar es salaam
✅Delivery tunafanya kwa gharama zako.
Tunatuma hata Mikoani na nje ya nchi.

no_additional_details

Bidhaa Zinazohusiana

Uliza Ujibiwe

Click the chat icon below to get instant help!

Chat Assistant